Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, October 17, 2011

BABY MADAHA ASEMA KUOLEWA BADO SANAAAA

















MSANII wa Bongo Fleva ambaye pia anafanya freshi kwenye filamu, Baby Joseph Madaha amedai kuwa sasa anakula bata kwanza kwani ishu ya kuolewa siyo leo wala kesho.

Akichezesha taya na paparazi wetu, Baby Madaha alisema sasa hivi yupo kwenye mchujo wa kutafuta mwanaume sahihi atakayemfaa maishani ili baadaye asije akajuta.

“Mimi kuolewa bado nipo nipo sana, siyo ishu ya leo wala kesho. Ni bora nile kwanza bata huku nikicheki yupi wa kumkabidhi moyo wangu kwa sehemu iliyobaki ya maisha yangu,” alisema Baby Madaha

No comments:

Post a Comment