Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, November 19, 2012

Lori lapata ajari barabara ya Mandela Road jijini Dar
Gari aina ya Mitsubishi Fuso lenye nambari za usajili T 612 BHY limepiga mwereka mchana wa leo maeneo ya Tabata Matumbi kama unaelekea Ubungo kwenye Barabara ya Mandela.Chanzo cha kutokea kwa ajali hiyo bado hakijafahamika na hakuna mtu yeyote aliejeruhiwa wala kupoteza maisha.
Gari hiyo ikiwa imelala ubavu baada ya kupiga mweleka mchana huu.

No comments:

Post a Comment