Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, February 29, 2012

TAIFA STARS VS THE MAMBAS 1-1, KIPINDI CHA PILI KIMEANZA


Mchezaji Nizar Khalfan wa timu ya Taifa Stars akichuana na mchezaji Frasisco Masinga wa Msumbiji The "Mambas" wakati wa mchezo wao wa kuwania kufuzu katika fainali za kombe la mataifa ya Afrika yatakayofanyika nchini Afrika Kusini unaofanyika kwenye uwanja wa Taifa. Hivi sasa ni Kipindi cha pili na timu zinatoshana nguvu kwa kuwa na matokeo ya 1-1 katika kipindi cha kwanza kilichomalizika, hebu tuangalie kipindi hiki cha pili huenda kikabadilisha matokeo, hata hivy timu ya Msumbiji inaonekana kumiliki sana mpira hasa katika nafasi ya Kiungo
Wachezaji wa Msumbiji na Taifa Stars wakiwania mpira wakati wa mchezo wao unaofanyika kwenye uwanja wa Taifa jioni hii.
Wachezaji wa Msunbiji wakishangilia goli lao la kwanza pamoja na mashabiki wao lililofungwa katika kipindi cha kwanza.