Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mabalozi saba
walioteuliwa hivi karibuni na kuagana nao kabla hawajaripoti kwenye vituo vyao
katika nchi mbali mbali leo Ikulu jijini Dar es salaam. Mabalozi hao toka
kushoto ni Mhe Modest Melo anayekwenda Umoja wa Mataifa, The Hague, Geneva, Mhe
Mabrouk n. Mabrouk (Abu Dhabi – Umoja wa Falme za Kiarabu – UAE), Luteni
Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo (Beijing, China), Mhe Anthony Cheche (Kinshasa
- Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo – DRC), Mhe Chabaka Kilumanga (Visiwa vya
Comoro), Mhe Wilson Masilingi (The Hague, Uholanzi) na Mhe Liberata Mulamula
(Washington DC, Marekani). PICHA NA IKULU
FCC: Wazalishaji wa Vifaa vya Ujenzi Walinde Haki za Walaji
-
Tume ya Ushindani (FCC) imesema wazalishaji wa vifaa vya ujenzi wana wajibu
wa kumlinda mlaji kwa kuhakikisha wanazalisha na kuuza bidhaa zenye ubora
un...
40 minutes ago


No comments:
Post a Comment