Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, July 22, 2014

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA::VIUNGO NA MIILI INAYODAIWA NI YA BINADAMU ILIYOKAMATWA ENEO LA BWENI

Viungo vya kamatwa


Sehemu ya mifuko ya plastiki iliyokutwa na viungo hivyo ambavyo inasemekana ni pamoja na mikono, miguu, ngozi na sehemu nyingine za miili


Gari likiwa limebeba mifuko yenye viuongo hivyo, ambapo Jeshi la Polisi wilaya ya Kinondoni limesema kuwa limeanza uchunguzi wa kina baada ya  kukakamata viungo mbalimbali vinavyodhaniwa kuwa ni vya binadamu katika mifuko ya plastiki katika machimbo ya kokoto sehemu za Mbweni Mpiji, Magohe, nje kidogo ya jiji la Dar es salaam.


 Mmoja ya Kiungo Kinachodaiwa cha Mguu 




 Baadhi ya Mifuko ambamo kunadaiwa Maiti izo zilikuwa zimewekwa
 Moja ya kichwa kinachodhaniwa cha Binadamu ambacho kimetolewa katika moja ya Mifuko hiyo
                   

No comments:

Post a Comment