Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, September 12, 2014

PICHA::KIVUKO CHA MV KIGAMBONI CHAANZA KUFANYA KAZI LEO JIJINI DAR ES SALAAM

i>
Kivuko cha MV KIgamboni kikiwa majini kuelekea eneo la Ferry kwa ajili ya kuanza kutoa Huduma ya Usafiri.


Abiria wakiingia  kwenye  Kivuko cha MV Kigamboni mara baada ya kuanza
kufanya kazi.


Kivuko cha MV Kigamboni kimeanza safari zake jioni ya leo baada ya ukarabati mkubwa uliofanywa na Kikosi cha Maji cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli.

No comments:

Post a Comment