Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, October 25, 2015

MADEREVA WA MABASI WASITISHA HUDUMA ZOTE ILI KUPIGA KURA LEOChama cha wamiliki wa mabasi Tanzania (TABOA) kimeamua kusitisha huduma zote siku ya October 25 ili kuwaruhusu madereva wake kupata nafasi ya kupiga kura kwenye siku kubwa ya Jumapili October 25.

Muweka hazina wa TABOA Issa Nkya ndio ameongea na ITV na kusema wanatambua Wafanyakazi wao nao wanatakiwa kuungana na Watanzania wengine kupiga kura hivyo hii siku wameruhusu wakaitumie vizuri.

CHANZO: ITV TANZANIA

No comments:

Post a Comment