Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, October 27, 2015

MGOMBEA UBUNGE AKAMATWA NA SILAHA ZA KIJADI KWA AJILI YA KUFANYIA VURUGU WAKATI WA UCHAGUZI MKOANI SHINYANGA


 Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Shinyanga kamishina msaidiziJustus Kamugisha akionesha moja ya mapanga yaliyokamatwa na jeshi la polisi  yanadaiwa kuwa yaliandaliwa kwa ajili ya kufanya vurugu wakati na baada ya uchaguzi mkuu 2015.Picha na Kadama Malunde-Malunde1 Blog
Vipande vya nondo na mapanga yanayodaiwa kuwa ni ya mgombea ubunge jimbo la Solwa mkoani Shinyanga Jeremia Mshandete wa Chadema, ni miongoni mwa silaha za jadi zilizokatwa ambazo zinadaiwa kuwa ziliandaliwa kwa ajili ya kufanya vurugu wakati na baada ya uchaguzi mkuu 2015.

Mawe, viroba na makombeo yaliyokamatwa na jeshi la polisi baada ya kukutwa ndani ya begi na vingine kwenye maboksi kwa ajili ya uharifu katika uchaguzi.




 Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Shinyanga kamishina msaidizi Justus Kamugisha 
akionesha bendera ya CCM iliyochanwa mbele ya waandishi wa habari hawapo pichani.
Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga akionesha makombeo yanayoadaiwa kuwa yalilenga kutumika kufanyia vurugu kwenye jimbo la Solwa

No comments:

Post a Comment