Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, October 25, 2015

PICHA::MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KWA TIKETI YA CCM, DK. ALI MOHAMMED SHEIN AMESHAPIGA KURA


Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Ali Mohammed Shein, tayari ameshapiga kura yake kwenye Kituo cha Skuli ya Bungi kusini mwa kisiwa cha Unguja, majira ya saa moja asubuhi
Shein amewaambia waandishi wa habari kuwa amejipigia kura mwenyewe na ana matumaini makubwa yakushinda
No comments:

Post a Comment