Wote kwa pamoja wametumia akaunti zao za Instagram ‘kutease’ collabo yao iliyofanyika jijini Nairobi Kenya hivi karibuni.
Sauti Sol wamepost picha hiyo na kuandika: Kazi ipo. King Kiba na Sauti Sol. Muziki wa kiafrika #LiveandDieinAfrika #Kenya #Tanzania.
”
No comments:
Post a Comment