Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, October 29, 2015

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATANGAZA MAJIMBO 69 YALIYOBAKIA KWA NGAZI YA URAIS LEO MCHANA

Jaji Lubuva akiendelea kutangaza matokeo ya Urais kwa Majimbo yaliyo bakia
Matokeo yakiendelea kutangazwa

Baadhi ya waandishi wa Habari waangalizi pamoja na wageni wakiwa wanafuatilia kwa makini kutangazwa kwa matokeo

Kamera za Kutosha zikifuatilia tukioNo comments:

Post a Comment