Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, October 26, 2015

WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KUPIGA MAENEO MBALIMBALI YA KATA YA KIJITONYAMA JIJINI DAR

 
Wasimamizi wa uchaguzi wakiendelea kuwahudumia wananchi waliofika katika kituo cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kijitonyama leo jijini Dar kwa ajili ya kupiga kura.Picha na Geofrey Adroph wa Pamoja Blog
Mmoja wa wazee akisaidiwa na mtu wake wa karibu ili kupiga kura katika kituo cha Chuo cha Ustawi wa Jamii  jijini Dar 


Mlemavu akisaidiwa na mtu wa karibu alipofika katika kituo cha Kenton kwa ajili ya kupiga kura
Mmoja wa wananchi akiwa kwenye sehemu ya kupigia kura katika kituo cha kupigia kura kwenye Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kijitonyama leo jijini Dar.
Wananchi wakihakiki majina yao katika kituo cha Shule ya Sinza  Mapambano jijini Dar leo.
 Wananchi  wakibadishana mawazo walipokuwa kwenye foleni wakisubiri kupiga kura katika kituo cha Shule ya Sinza  Mapambano jijini Dar.
 Wananchi wakihakiki majina yao katika kituo cha Shule Kenton Mwenge jijini Dar
 Wananchi wakisubiri kupiga kura katika kituo cha cha Shule ya Sinza Mapambano jijini Dar .
  
 
   Wananchi wakiwa wamejipanga foleni kwa ajili ya kupiga kura katika kituo cha Shule ya Sinza  Mapambano jijini Dar .
 Wananchi wakisubiri kupiga kura katika kituo cha Shule Kenton Mwenge jijini Dar
   Wananchi wakisubiri kupiga kura katika kituo cha Chuo cha Ustawi wa Jamii  jijini Dar
Umati mkubwa ukiwa kwenye foleni katika katika kituo cha kupigia kura kwenye Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kijitonyama  jijini Dar.

No comments:

Post a Comment