Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, November 21, 2015

MCHAPALO BAADA YA RAIS MAGUFULI KULIHUTUBIA BUNGE MJINI DODOMA JANA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Sophia Simba kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma, wakati wa hafla fupi ya Coktail (Mchapalo) iliyofayika baada ya Rais Magufuli kulihutubia Bunge jana jioni Nov 20, 2015. Picha na OMR


Waziri Mkuu wa awamu ya Tano, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa, akizungumza jambo na Rais staafu wa awamu ya sita wa Zanzibar, Aman Abeid Karume, wakati wa hafla fupi ya Coktail (Mchapalo) iliyofayika baada ya Rais Magufuli kulihutubia Bunge jana jioni Nov 20, 2015 kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na baadhi ya Viongozi wakati wa hafla fupi ya Coktail (Mchapalo) iliyofayika baada ya Rais Magufuli kulihutubia Bunge jana jioni Nov 20, 2015 kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma

 


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Waziri Mkuu mstaafu, Joseph Warioba wakati wa hafla fupi ya Coktail (Mchapalo) iliyofayika baada ya Rais Magufuli kulihutubia Bunge jana jioni Nov 20, 2015 kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma.


Rais Magufuli (katikati) akizungumza jambo na Rais wa Zanzibar, Mohamed Ali Shein (kushoto) na Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, wakati wa hafla fupi ya Coktail (Mchapalo) iliyofayika baada ya Rais Magufuli kulihutubia Bunge jana jioni Nov 20, 2015 kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Mbunge wa Shinyanga mjini, Stephen Masele, wakati wa hafla fupi ya Coktail (Mchapalo) iliyofayika baada ya Rais Magufuli kulihutubia Bunge jana jioni Nov 20, 2015 kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma


Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza jambo na baadhi ya viongozi wakati wa hafla fupi ya Coktail (Mchapalo) iliyofayika baada ya Rais Magufuli kulihutubia Bunge jana jioni Nov 20, 2015 kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na mmoja kati ya wageni waalikwa wa Kimataifa, wakati wa hafla fupi ya Coktail (Mchapalo) iliyofayika baada ya Rais Magufuli kulihutubia Bunge jana jioni Nov 20, 2015 kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Vijana wa UVCCM, wakati wa hafla fupi ya Coktail (Mchapalo) iliyofayika baada ya Rais Magufuli kulihutubia Bunge jana jioni Nov 20, 2015 kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa, Spika wa Bunge, Job Ndugai na Katibu wake, baada ya hafla fupi ya Coktail (Mchapalo) iliyofayika baada ya Rais Magufuli kulihutubia Bunge jana jioni Nov 20, 2015 kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment