Tanzania Freestyle football championship (TFFC2016) ambalo ni shindano la kutafuta/kusaka vipaji vya kuchezea mpira yaani freestyle soccer/Freestyle Football wengi hupenda kuita hivyo ambalo linatarajiwa kuendeshwa kama vile mashindano mengine ya kutafuta vipaji kwa njia mbalimbali ikiwemo ile ya TV show.
Waweza wasiliana nao kupitia anuani hapa +255 654 955 825/ +255 655 049 647
DC LUDEWA AFANYA KISOMO KUMWOMBEA RAIS DKT. SAMIA
-
Na. Damian Kunambi, Njombe
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva akiambatana na Mkurugenzi wa
Halamashauri, viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamo...
53 minutes ago
No comments:
Post a Comment