Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, December 2, 2015

AJALI YATOKEA ENEO LA SHELUI MKONI SINGIDA IKILIHUSISHA BASI LA TAKBIR,INADAIWA WATU KADHAA WAFARIKI

 Kwa taarifa zilizotufikia jana usiku kutoka Mkoani Singida zinasema kuwa kuna ajali imetokea  eneo la Shelui, ikihusisha basi la Takbir lililokuwa likitokea Dar kwenda Mwanza.Habari za mwanzo zinasema kuwa kuna watu wamepoteza maisha na wengine wamejeruhiwa kutokana na ajali hiyo.No comments:

Post a Comment