Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, December 3, 2015

KIWANDA CHA NGUO URAFIKI CHAFUNGWA KWA MUDA

Jeshi la Polisi Dar es Salaam jana limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafanyakazi wa kiwanda cha nguo cha Urafiki ambao walifanya mgomo na kuufungia uongozi wa kiwanda hicho ndani kwa madai ya kutolipwa ongezeko la mishahara yao kwa muda mrefu.
Kutokana na Sekeseke hilo,Mkuu wa wilaya ya Kinondoni ,Paul Makonda ameamuru kiwanda hicho kifungwe kwa muda ili kusaka suluhu

 

No comments:

Post a Comment