Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, December 18, 2015

PICHA 5::BASI LA NEW FORCE KUTOKA MBEYA KWENDA DAR ES SALAAM LAPINDUKA MKOANI IRINGA

fo1
 watu 12 wamepoteza Maisha na wengine 24  wamejeruhiwa leo baada ya basi la New Force kupata ajali Eneo la Mahenge Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa barabara kuu ya Iringa- Dar es salaamBasi hilo lilikuwa likitokea mkoani Mbeya kuelekea Dar es Salaam ambapo lilipata ajali mchana huu jitihada za  kuondoa miili na kusafirisha majeruhi  kupeleka hospitali zilifanyika, kamanda wa polisi mkoani Iringa Kamanda Peter Kakamba Amedhibitisha kutokea kwa ajali hiyo




fo2

No comments:

Post a Comment