Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, December 3, 2015

Wafanyakazi wa TRA Geti No. 5 Waswekwa Ndani

Upelelezi ukiwa bado unaendelea kufuatia ufisadi wa kupitishwa kwa makontena takribani 350 bandarini bila kulipia ushuru. Jana jeshi la polisi limewakamata wafanyakazi wa TRA ambao ndio wanahusika na upitishaji wa makontena pale bandarini. Taarifa za awali zinasema idadi ya wafanyakazi hao walioswekwa ndani inakadiriwa kuwa ni 27.

No comments:

Post a Comment