Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, December 17, 2015

WAZIRI MKUU MAJALIWA AMTEMBELEA JAJI WARIOBAWaziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba wakati alipokwenda nyumbani kwa mstaafu huyo Oysterbay jijini Dar es salaam kumtembelea, Desemba 16, 2015. 

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba wakati alipokwenda nyumbani kwa mstaafu huyo Oysterbay jijini Dar es salaam kumtembelea Desemba 16, 2015.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment