Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, January 26, 2016

TAZAMA PICHA HII NDIO OFISI MPYA YA DIAMOND


Si kawaida kwa msanii kuwa na ofisi nzuri kama ya mwenyekiti mtendaji au mkurugenzi wa kampuni kubwa.
Kwa Diamond lakini, hamu yake ya kujibrand kuwa msanii mkubwa na wa kimataifa, imemfanya aamue kuwa na ofisi yenye hadhi yake.
Kupitia Instagram, hitmaker huyo wa ‘Utanipenda’ alishare picha ya kwanza ya ofisi yake ya kuvutia baada ya mama yake kumtembeleaNo comments:

Post a Comment