Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, January 27, 2016

Uchimbaji wa mtaro kupitisha maji katika shule ya msingi Muungano, Mwanga, mkoani Kigoma


 Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Kanali Mstaafu, Issa Machibya  (katikati) akichimba mtaro kwa ajili ya kupitisha maji katika shule ya msingi Muungano iliyopo Mwanga mkoani Kigoma, anayechimba  naye mtaro ni Diwani wa  Mwanga Kusini (CCM), Mussa  Maulid akishiriki katika uboreshaji huo wa miundombinu ya shule hiyo, hivi sasa mkoa wa Kigoma una mvua nyingi.
Diwani  wa Kata ya Mwanga Kusini, Mussa Maulid (mwenye suti ya michezo)akishiriki kuweka mazingira safi katika shule ya msingi Muungano 

 
iliyoko Mwanga mkoani Kigoma sambamba na wanafunzi wa shule hiyo.

No comments:

Post a Comment