Mashirikiano ya VETA na Wazalishaji ndio daraja la kutanua soko la ajira
kwa vijana-Profesa Mkenda
-
Waziri wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda akipata maelezo
kuhusiana ubunifu wa vazi la bibi harusi linalobuniwa na mtanzania kwenye
kon...
6 hours ago
Televisheni ya taifa ni TBC, ingawa hawajali maslahi ya taifa, hata kama mambo mengi ya kitaifa yangefanywa na ITV lakini kwa kuwa TBC ndiyo iliyoanzishwa ikiwa ni ya Taifa basi itabaki kuwa ni ya taifa, labda tujiulize kwa kitendo hicho TBC inyang'anywe hadhi ya kuwa Televisheni ya taifa na apewe mtu na ITV Iwe ya taifa...!
ReplyDeletekitu kimoja kitatokea, nayo ITV umiliki wake utaenda Taifani na siku moja itaonekana haifai kuwa ya taifa.
Cha msingi inapokuwa chombo cha taifa kama hivyo kimejisahau kikumbushwe.
Hakuna wanadamu wako sawa 100%...
ila through kukumbushana na kurekebishana tutafika mbali.
pia si kweli kwamba kwa kuwa ni jambo la taifa basi ni lazima TBC tu ndo ihusike nalo na hakuna TV nyingine inayoweza kujitolea kwa ajili ya mambo ya taifa, itamaanisha kwamba vyombo vingine vya habari havina uzalendo kitu ambacha hakifai kwa taifa.
ITV ni wa kupongezwa kwa hilo lakini siyo hoja ya kuwa Televisheni ya Taifa sababu huo pia ni wajibu wao kama mojawapo ya chombo cha habari hapa Tanzania
REGARDS
HIS HIGHNESS PRINCE OF TANZANIA