Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, August 15, 2013

ANGALIA PICHA YA MSHIRIKI WA BIG BROTHER AMBAYE HAJAWAHI KUWA NOMINATED TOKA BBA IANZE


beve 
Hivi unaweza kuamini mshiriki huyu ameweka rekodi ya BBA house baada ya kutokuwa nominated kwenye jumba la BBA tangu mashindano yaanze. Kitu kikubwa wanachokiangalia watu hivi sasa ni kama anaweza kushinda zawadi kubwa ya BBA The Chase kwasababu kama bahati anayo, hapanamzungumzia Beverly mshiriki kutoka Nigeria.

Unaambiwa kwa muda wa miaka kumi mshiriki huyu ambaye ni video vixen mwenye umri wa miaka 21 ndiyo ameweka rekodi ya kutokuwa nominated ili apigiwe kura za kutoka. Lets wait kuona kwamba bahati yake itambeba na kushinda huu mzigo wa dola kutoka BBA.
beve

No comments:

Post a Comment