Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, August 14, 2013

AngaliaPicha Baada ya Ja Rule kutoka Jela

Hot makers wa ngoma kali back in the days, kama vile “Always On Time”, “Put it on Me” na “Mesmerize”, Ja Rule Pamoja na Ashanti wamekuwa na studio time pamoja, dalili thabiti kuwa wapo katika mchakato wa kutoa kazi za pamoja hivi karibuni katika wakati huu ambao Ja Rule anajipanga kwa ujio mpya baada ya kumaliza kifungo.NA SAMMISAGO

No comments:

Post a Comment