Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, August 14, 2013

PATA NGUO ZA KIKE ZA KISASA KWA BEI NAFUU – SACHQUES CLOTHING STORE


Karibu Sachques Clothing Store, duka la nguo za kike liko Kijitonyama karibu na Polisi Mabatini wanauza nguo za kisasa kwa bei nafuu. Kwa mfano magauni marefu ni 35,000/=, magauni mafupi 25,000/=, mashati na blouse zote 15,000/=, viatu kuanzia 15,000/= mpaka 25,000/= .
Duka linafunguliwa kila siku Jumatatu mpaka Jumapili kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa tatu usiku. Kwa mawasiliano zaidi piga 0715-801316 au 0774-801316 , Kwenye Instagram @Sachques au tembelea tovuti yao www.sachques.com

No comments:

Post a Comment