Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, March 9, 2014

Buriani Meja Jenerali Mstaaf wa JWTZ Bakari Shaban Hassan

           Marehemu Meja Jenerali Mstaafu JWTZ. Bakari Shaabani  Hassan,
 Wanajeshi wa JWTZ wakiuteremsha mwili wa marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani  Hassan,baada ya kuwasili katiuka uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar ukitokea Dar-es-Salaam. marehemu amefariki katika hospitali ya Kijeshi Lugalo Dar.

Maafisa wa Jeshi la JWTZ wenye vyeo vya Meja wakiwa wameubeba Mwili wa marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani  Hassan,ukitokea katika Hospitali ya jeshi Lugalo baada ya kufariki juzi marehemu amefariki akiwa na umri wa miaka zaidi ya Sitini.




Ndugu na Jamaa wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani  Hassan,wakilia kwa uchungu baada ya kufika mwili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,tayari kwa mazishi yake yatakayofanyika leo kwa heshima zote za Kijeshi katika makaburi ya Tomondo  Wilaya magharibi Unguja.

No comments:

Post a Comment