Mgombea
ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Bw.
Godfrey Mgimwa akibebwa juu juu na wananchi mara baada ya kumaliza
kuhutubia mkutano wa kampeni katika kijiji cha Wenda kata ya Mseke
Iringa vijijini huku kukiwa na mvua kubwa ambayo hata hivyo haikuzuia
kuendelea kwa mkutano huo, wananchi wa kijiji hicho walionekana kuwa na
hamu kubwa ya kumsikiliza mgombea huyo wa (CCM) walisikika wakisema nini
mvua sisi tunataka sera tu tunataka tusikilize maneno ya huyu mgombea
wa (CCM)PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-KALENGA) Mgombea
ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Bw.
Godfrey Mgimwa akiwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni
uliofanyika katika kijiji cha Wenda huku mvua kubwa ikinyesha kulia ni
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Bi. Jesca Msambatavangu.
Mkutano ukiendelea huku wananchi wakimsikiliza wakiwa katika mvua kubwa Wananchi
hawa wakimsikiliza mgombea huyo wa CCM huku wakiwa wamejihifadhi katika
moja ya mabanda ya biashara ndogondogo kijijini hapo. Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Bi. Jesca Msambatavangu akimnadhi Bw. Godfrey Mgimwa katika mkutano wa kampeni kwenye kjiji cha Wenda kata ya Mseke. Wananchi
wakinyanyua mikono0 yao juu kuonyesha ishara ya kumkubali Bw. Godfrey
Mgimwa katika mkutano wa kampeni kwenye kijiji cha Saadani. Msanii Dokii akiimba na wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Tanangozi kata ya Mseke. Wananchi wakiserebuka kabla ya kuanza kwa mkutano wa kampeni katika kijiji cha Tanangozi. Mgombea
ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Bw.
Godfrey Mgimwa akiwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni kwenye
kijiji cha Saadani kata ya Mseke. Umati uliohudhuria katika mkutano huo kijijini Saadani. Umati uliohudhuria katika mkutano huo kijijini Saadani
M/ Kiti wa ACT-Wazalendo Taifa; Ni wakati sasa vijana kujitambua na
kusimama imara katika kuitetea Nchi
-
MWENYEKITI wa ACT-Wazalendo Taifa Mheshimiwa Othman Masoud Othman, amesema
ni wakati sasa vijana kujitambua na kusimama imara katika kuitetea Nch...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment