Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, March 10, 2014

PICHA:::HUYU NDIYE MGOMBEA WA CHADEMA JIMBO LA CHALINZE,KUCHUANA NA RIDHIWAN KIKWETE

mgombea ubunge wa jimbo la chalinze kupitia chama cha democrasia na maendeleo CHADEMA mathayo torongei akizungumza na wanahabari muda huu baada ya kutangazwa na john mrema ambaye ndio kiongozi wa kampeni za chalinze kuwa ndiye atakayeibebe bendera ya chadema jimboni humo kupambana na mgombea wa ccm ridhiwan

No comments:

Post a Comment