Kufuzu kwa Ivory Coast kucheza fainali za Africa mwakani kumegubikwa na tukio la mashabiki wa nchini humo kuvamia uwanja kwa furaha baada ya kumalizika mchezo huo dhidi ya Cameroon uliomalizika kwa sare 0-0 huko Abidjan.
MONGELA AONGOZA KUAGA MIILI YA WATU WANNE WALIOPATA AJALI MBEYA
-
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu John Mongella,
leo tarehe 27 Februari 2025 ameongoza shughuli ya kuaga miili ya marehemu
wanne w...
13 minutes ago
No comments:
Post a Comment