Lori kubwa aina ya Scania limesababisha ajali baada ya kukatiza barabara ghafla na kuigonga daladala aina ya DCM yenye maba za usajiri T797 BED lenye kufanya safari zake kati ya G/LAMBOTO to UBUNGO.
Wasamalia wema wakiwa katika eneo la tukio
Namna garo la abilia lilivyo alibiwa na gari kubwa la mizigo aina ya scania
Damu ambazo ni kwa wale abilia walio jeruhiwa katika ajali hiyo.
Gari hili likiwa limepasuka vioo vyote na kuumia kwa face ya mbele.
Mwonekano wa daladala kwa upande.
Wasamalia wema wakijaribu kutoa msaada wa kuwaokoa majeruhi.
Baadhi ya majeruhi wakiwa wametapakaza damu katika maeneo haya ya ajali
Viti vya daladala vikiwa vimeng'oka na kusambaa nje ya maeneo ya barabarani
Katika ajali hiyo hakuna abiria ayepoteza maisha isipokuwa baadhi ya abiria wamejeruhiwa tu.
Ajali hii imetokea mda huu maeneo ya Tabata Matumbi. Asante na endelea kutembelea Mutalemwa Blog kwa habari moto moto ndani na nje ya mipaka ya tanzania.
No comments:
Post a Comment