Naye Papis Cisse amefungiwa michezo saba na Shirikisho hilo.
FA imetoa adhabu hiyo baada uya kuthibitisha kupitia mkanda
wa video hiyo katika mchezo uliochezwa jumatano iliyopita katika uwanja wa St.
James Park ambapo Man U waliibuka na ushindi wa goli 1-0, goli lililofungwa na
Ashley Young.
Adhabu hiyo itamfanya beki huyo kukosa mchezo wa robo
fainali dhidi ya Arsenal siku ya jumatatu
kwmenye uwanja wa Old Tranford na
michezo mingine atakayoikosa ni ile dhidi ya Tottenham, Liverpool, Aston Villa,
Manchester City, na Chelsea.
Kwa upande wa Cisse atakosa michezo dhidi ya Everton,
Arsenal, Sunderland, Liverpool, Tottenham,Swansea na Leicester
No comments:
Post a Comment