Pages

comedy zone

UKIMKUTA MTOTO WAKO ANAFANYA MAMBO YAKIKUBWA KAMA HAYA UTAMPA ADHABU GANI?

 

 Vichekesho 


jamaa amekaa jikoni na mke wake.. Mke
katoka kidogo jamaa akadokoa nyama
jikoni, kwa bahati mbaya nyama
ikamkwama kooni... Katika harakati za
kujiokoa ghafla mke akatoke. Mke
akamuuliza jamaa... "vipi mme wangu
mbona umetoa macho hivyo"... Jamaa
kuua soo akajibu "Nakutisha"



Teja alipanda kwenye gari amepiga bonge la kata K,mlokole kuona hivyo akaguna,akasema,kwa stahili hii,hatutaenda mbinguni.Teja kusikia hivyo akasema,Oyaaa konda,nishushe kituo kinachofuata,me nauli yangu hainifikishi mbinguni.

Kuna domo zege anahitaji ushauri:Jamaa amekuwa na rafiki wa kike kwa miezi 6 na wamezoeana,ingawa wanafanya kama marafiki ila urafiki huwa unafika mpaka kunyonyana mate,na kunyonya maziwa ya huyo dem,ila dem huwa msimamo wake ni kwamba no sex,jamaa anaweza akapeana kisses na dem,kusuck boobs ila jamaa anaogopa kugusa kwingine kama kushika wowowo ya girl au kuingiza mkono ndani ya pants za girl akiogopa girl atareact vibaya na atakuwa amevuka mipaka au urafiki unaweza kuvunjika....sasa jamaa anauliza,ampapase hips na kushika shika pants wakiwa kwenye kisses ?au aendelee kuwa mstaarabu tu labda girl ipo siku atamvulia mwenyewe!

By Dady Dadee Amry



Mashindano ya kula UGALI mkubwaaa na mboga za ajabu!
wa kwanza amekuja na sinia lake la ugali na kipakti cha chumvi akala.
wapili amekuja na sinia lake la ugali na kibakuli cha maji, akala akamaliza.
wa tatu akaja na ugali kama kawaida kwenye sinia kubwa na pembeni kuna kibakuli kina ugali mdogo (kama mboga),akala akamaliza,
nani mkali hapo?

Sharo flani alienda kuangalia sinema na dem
wake,sinema ilipokuwa inaendelea jamaa akashikwa
na usingizi akalala. Baada ya muda akashtuka kutoka usingizini
akasema,"Aah! Mb**o yangu men!!"
{watu wakageuka kumwangalia} Akaanza kupiga kelele,"Jamani mb** yangu men! Mtu
amekata mb** yangu." Dem wake akamuambia,"Acha ufala tulia,umeingiza mkono wako ndani ya chupi yangu!



Ni watu gani wanaokuboa humu facebook.
1.Yupo online halafu ukisema hi hakujibu
2.kama ni mpenzi wako utakuta anaingia fb ila hareply halafu
anadai hajaingia
3.Kuna madem wanalalamika wanaombwa namba,wakati
akikuomba superstar hata chupi unamvulia fasta
4.Mtu anakuPOKE ila inbox hajibu,unanipoke ili kuniuzia sura?
5.Mtu anakurequest friendship halafu kuchat hataki,uliniadd ya
nini pumba

vu.
6.Kuna wanaolalamika kila siku "jamani nina friends wengi sana
kama hutaki kucoment au kureply jiondoe" uliniadd mwenyewe
tulipojaa unalalamika na kututishia utatufuta,hujuoni mwehu
umetuadd mwenyewe halafu unaturemove?we kweli mwehu
7.Amekuadd saa hiyo hiyo halafu anaomba namba ya sim kwani
umeambiwa humu fb watu malaya wa buguruni?
8.Hupokei request za ndugu zako (inanihusu,mi dingi yangu
nilimblock maana naandika pumba jioni vikwenzi)
9.Mtu anatumia account zaidi ya moja kila mwezi unaona request
haiishi halafu jina lile lile,sasa unaadd nini wakati hata ile moja
umeshindwa kuchat.
10.Watu wa kutag,hawa kazi yao kutag kama wameajiriwa
(mnaboa ile mbaya)
11.Mwanamke amevaa kimtego mapaja yako nje,
mmekaa kimalaya mkitongozwa mnala-
lamimika,mi hawa huwa sisalimii hata nawaadiki inbox direct
namwambia ( bby i want to fuck you),akimind aniblock kama
malaya atatoa.
12.Kuna watu wapo relationship,kama upo relationship
pale unaridhishwa inawezekana hata hujamwonja ila
mwingine humu fb anamtoa nyege.
13.Unapost kwenye wall ya mtu ila yeye ha-LIKE wala comment
mpaka unafuta mwenyewe.
14.Kuna vitoto vya miaka 16-18 halafu bado bikra,hivi vinashoboka
balaa,ukipewa mimba ukakimbiwa utaweza kubeba huo mzingo?
15.Kuna ambao wakikereka wanaweka pics zenye ujumbe wa
maandishi,unadhani ujumbe umefika?



Mtanzania na mganda waliingia supermarket moja jijini DSM.Walipotoka nje,mganda akawa anajigamba kwamba wakenya ni wajanja kuliko wa-TZ huku akimuonesha m-TZ chocolate tatu alizokwiba supermarket.M-bongo akamshawishi mganda warudi tena ndani ya supermarket ili naye akamuoneshe ustadi wake.Walipofika tu ndani,m-TZ akamwambia mhudumu,'nataka kukuonesha mazingaombwe,hebu niletee chocolate tatu!'.Yule mhudumu akamletea chocolate tatu,jamaa akazila zote mbele ya mhudumu halafu akasema,'unaona mhudumu,mwenyewe umeshuhudia nimekula chocolate tatu lakini amini usiamini,chocolate zako ziko mfukoni kwa huyu jamaa'.Mhudumu akamkagua mganda mfukoni then akachukua chocolate zake zote tatu.

Rafiki 1:Inakuwaje mbona unalewa jumatatu kuna tatizo?
Rafiki 2:kuna vitu vingine tuviache tu havielezeki ndugu yangu
Rafiki 1:hebu nieleze basi
Rafiki 2:nilikuwa namkamua ng'ombe maziwa,ile tu maziwa yanaja
a akaipiga teke kopo la maziwa,halafu nikamfunga miguu.
Rafiki 1:hiyo mbona ishu ya kawaida sana?
Rafiki 2:vitu vingine havielezeki,nilipomfunga miguu nikaanza
kumkamua

tena mara akaipiga kopo la maziwa mkia wake.
Rafiki 1:mbona ishu ya kawaida lakini
Rafiki:2ikabidi nipande juu ya stuli ili nifunge mkia wake juu ya
mtu.
Rafiki 1:mbona kawaida ndo sababu za kulewa?
Rafiki 2:vitu vingine havielezeki,ile nipo juu ya stuli huku namfunga
mkia juu mara suruali yangu ikadondoka,,mara gafla mke
wangu akatoka ndani na kuniona...vitu vingine havielezeki.

We unadhani nini hasa kilimfanya jamaa akalewe kupunguza mawazo?



Baba kajiunga facebook halafu anamtumia dogo wake(mwanae) friend request na kumwandikia inbox.
Baba:naomba nielekeze,hapo ndo tayari nimeshajiunga na fb?
Mwanae:tayari ushajiunga
Baba:halafu kuna wall maana yake nini
Mwanae:maana yake ukuta
Baba:halafu post maana yake nini
Mwanae: WTF (akimaanisha what the fuck)
Baba:sijaelewa wtf ndo nini
Mwanae:maana yake welcome to facebook
Baba:kwahiyo ndo nipost kwenye wall yangu WTF ?
Mwanae:yah post kwako andika wtf ila ukipost kwangu fb watakublock.



Kuna machizi wa
il walikuwa wamechill wanapiga storeeee,mara ndege ikapita juu,yule mmoja akasema,hii lazima itakuwa ndege ya Rais...yule mwingine akasema,aaah wapi,kama ingekuwa ndege ya rais lazima kungekuwa na msfara wa mapikipiki unaongoza na ving'ora!!
Tehehehehe

Jamaa anahitaji ushauri wenu:Amekuwa na uhusiano na binti wa kilokole kwa mda mrefu,,tatizo huyo binti amemyima mchezo eti anataka mpaka waoane,girl anadai tendo la ndoa ni baada ya kuolewa,jamaa kinachomshangaza alipomwuliza girl ukweli ni kwamba hana bikra.......sasa anajiuliza je idea ya kuoa bila kuonja inamantiki kweli?



Dogo kawakuta mama na baba kitandani wakifanya mambo,akamwuliza baba "baba unamfanyia nini baba?
baba akamwambia anampiga mama.
Dogo akaanza kumwuliza mama,"mama kosa gani unafanya kila siku unapigwa,juzi ulipigwa na mlizi,jana ukapigwa na house boy,jamani mama kwani unafanya kosa gani?
hivi kama nye ndo baba na mama mgeendelea na raha zenu au ngumi zitachapwa?



Binti: Mama nina mimba...
Mama: Shenzi kabisa!, haya imekuwaje na tokea lini?
Binti: Bahati mbaya , ni ajali tu mama.
Mama: Pumbafu zako,unataka kusema ulikuwa unatembea tu barabarani ndo ukateleza ukaangukia uume.

Mwenyeji: karibu
Mgeni: Asante
Mwenyeji: utakunywa chai au juice?
Mgeni: ntakunywa chai nikisubiri juice .

Hivi huyo mgeni uroho au poa tu?

Mwangalia huyu mzee anavyowakatili watoto wake
 Kama ndio elimu kwa adhabu kama hii hatuboreshi elimu bali ndio tunazidi kuibomoa,hapa tunajenga vijana wa namna gani?

 Mzee wetu kaamua kwenda kuonana na atm angalau  apate riziki maana kila anayeingia hapo anatoka anacheka kwanini sio yeye?

 Kwa mtindo huu kaxzi ipo,wameingiliwa
Maisha ni noma ulinzi mpaka jikoni,

 







































No comments:

Post a Comment