
Ujumbe wa Uongozi wa CHADEMA ukipitia kwa makini taarifa ya pamoja kati
ya serikali na chama hicho kabla ya kukisambaza kwenye vyombo vya
habari ikiwa ni hitimisho la mkutano wao baada ya mazungumzo ya siku
mbili Ikulu jijini Dar es salaam.

Viongozi wa CHADEMA wakiwasili Ikulu

Wajumbe upande wa Serikali

Rais Kikwete akijadiliana na Profesa Mwesiga Baregu (kulia), Freeman Mbowe na Mh Bernard Membe wakati wa mapumziko mafupi

Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Emmanuel Nchimbi na Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano Mh. Samia
Suluhu Hassan wakipitia taarifa hiyo ya pamoja

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh Bernard Membe (kati) akiwa na maafisa wa serikali wakipitia taarifa hiyo
Mkutano ambao leo umedumu kwa takriban masaa matano ukiendelea
No comments:
Post a Comment