| Hii ndiyo barabara ya mbalizi eneo la hospital ya wazazi meta ikiwa imebanduka viraka vya sementi iliyowekwa mwezi uliopita |
| Hivi ndivyo viraka vilivyobandikwa mwezi uliopita sasa yamebaki mashimo |
| Hili barabara ya kuingia kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani jijini mbeya |

No comments:
Post a Comment