Kaka kuona akiwa kwenye mambo ya kimila wilayani kilwa kwaajili ya
kufanya utabiri wa mwaka mzima, ambapo kwenye utabiri wake alikimbilia
Compressor ya gesi na kuilamba, huku wilaya hiyo kila kukicha
kukigundulika visima vipya vya gesi na tafiti bado zinaendelea.
Kaka kuona akielekea kwenye Compressor ya gesi ambapo alifika na kuanza
kuilamba baada ya kupangiwa vitu mbalimbalui, Hivi karibuni wilayani
humo kumegundulika hazina nyingine ya gesi nyingi huku makampuni kadhaa
yakiendelea na utafiti kwenye wilaya hiyo, mbali na gesi iliyotayari
kwenye matumizi ya Songosongo.
No comments:
Post a Comment