Mshiriki
kutoka Dar es Salaam Bereniki Kimiro aka Mama Kev ndio ameibuka mshindi
wa maisha plus season 3 nakujinyakulia kitita cha sh mil 20. katika
nafasi ya 2 imekwenda kwa Venance Mushi alie ibuka na kitita cha sh ml 6
kilichotolewa na naibu Waziri wa maliasili na utalii Mh Lazaro Nyalandu
na wa tatu ni Justin Bayo kutoka Morogoro nae kajinyakulia kitita cha
sh mil 4 pia kimetolewa na naibu waziri huyo ambaye pia amewahaidi
vijana wote waliobakia kuwapa kila mmoja sh laki tano katika halfa ya
msosi wa mchana aliowaahidi kuwaandalia kesho katika hotel ya serena
Tume ya uchunguzi yaongezewa muda hadi April 3, 2026
-
MAMLAKA ya Uteuzi imeongeza muda wa siku arobaini na mbili (42) kuanzia
tarehe 20 Februari, 2026 Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani
Wakati ...
3 hours ago


No comments:
Post a Comment