Jengo
la Beit Al- Ajaib lililojengwa na Utawala wa Kijerumani Mwaka 1870
likiwa na umri wa karibu miaka 142 hutegemewa sana katika Sekta ya
Utalii ndani ya mwambao wa Afrika Mashariki pamoja na wataalamu na
wanafunzi wa kigeni wanaokuja kufanya utafiti hapa Nchini.
|
No comments:
Post a Comment