Kama Yanga wameigomea Vodacom kwa nembo yenye rangi nyekundu...!Chadema Mpoooo Hapooo
Kama
Yanga wameigomea Vodacom kwa nembo yenye rangi nyekundu,basi, kuna
watakaoigomea pikipiki hii kwa herufi za usajili wake, na fikiri kama
mwenye pikipiki anafanya biashara ya bodadoda, na pikipiki iwe na rangi
ya kijani, basi, hofu yake itakuwa ni kwapoteza baadhi ya wateja wake,
hakyamungu!
No comments:
Post a Comment