Meneja
Masoko wa Kampuni ya Tanzania Hair Industry ltd James Walwa – Jimmy
akimkabidhi mbunifu wa mavazi nchini Ally Rehmtullah tiketi kwa ajili ya
kwenda kuiwakilisha Afrika Mashariki katika mkutano wa ‘The Economics
of the Africa Fashion Industry’ utakaofanyika nchini Marekani mwezi wa
Februari. Tanzania Hair Industry ltd ambao ndio watengenezaji wa nywele
maarufu aina ya Darling ndio wadhamini wa safari ya mbunifu huyu kwenye
mkutano huo wa kihistoria utakaofanyika katika Kikuu cha Havard nchini
Marekani.

No comments:
Post a Comment