Kupitia mtandao wa kijamii wa picha wa Instagram, Wema Sepetu ameshare picha za kwanza zinazoonesha logo ya kampuni yake iitwayo Endless Fame Films. “Nawaomba mzidi niombea nifike nnapotaka endless fame ifike… Inshallah,” ameandika mrembo huyo.
TRC YAANZA KUUNDA VICHWA VYA TRENI ZA MGR
-
Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Miundombinu ikipata maelezo kutoka kwa
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Mhandisi Mhandisi
Machibya Shiwa wak...
14 minutes ago


No comments:
Post a Comment