Kama ulikuwa hujui mtuwangu wa nguvu mwezi uliopita MH .TEMBA alikuwa kati ya watu walioibiwa vifaa vya gari ambalo pia picha zake nilizi weka kwenye webst .Hii leo Temba ameamplify kupitia amplifaya kuibiwa vitu vya gari lake kwa mara ya tano.Mara ya kwanza aliibiwa akiwa na suzuki mikocheni mara ya pili akiwa na gari aina ya Gx100 akiwa diamond jubilee mara ya tatu chango’mbe akiwa na gari aina ya Gx110 mara nne Gx100.na mara ya tano Temba ameibiwa jana nyumbani kwake.
UDSM YAISHUKURU SERIKALI YA AWAMU YA SITA KWA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA
ELIMU NA UTAFITI
-
Lindi — Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimeishukuru Serikali ya Awamu
ya Sita kwa kuendelea kukiimarisha kupitia uboreshaji wa miundombinu ya
kujif...
3 hours ago


No comments:
Post a Comment