Kamapuni ya China Jiangchang Engineering Co. Ltd (CRJE) ndiyo imekabidhi mradi huo ramsi hii leo baada ya kukamilika ujenzi wake uliowashirikisha pia wakandarasi wadogo 6 wa ndani.
Jiji la
Arusha limepata muonekano mpya kwa kuongezewa jengo refu, kubwa na la
kisasa kwa shughuli za kiosifi na biashara. NSSF nao wanategemea
kuhamishia offisi zao kwa kanda hii katika jengo hili, halikadhalika
huduma za kibenki zitapatikana hapo.

No comments:
Post a Comment