TAZAMA PICHA TATU ZA LULU BAADA YA DHAMANA KUKAMILIKA,AKIELEKEA URAIANI.
Lulu
na mama yake mzazi wakilia baada ya kukutana nje ya Mahakama, Lulu
amechiwa huru na Mahakama leo january 29 2013 mchana, pembeni ni
mwigizaji Dr. Cheni ambae amekua karibu na familia ya Lulu kwa muda
mrefu sana.
No comments:
Post a Comment