![]() Watu wawili bibi na kijana wakiwa wamemeza madawa ya kulevya(Cocain) | Thursday, February 07, 2013 10:28 AM Watu wawili bibi na kijana wakiwa wamemeza madawa ya kulevya(Cocain) walizidiwa ghafla Mwalimu Nyerere International Airport(JNIA). | |
| Watu wawili bibi na kijana wakiwa wamemeza madawa ya kulevya(Cocain) majina kapuni walizidiwa ghafla na kuanza kuomba msaada mara baada ya kufika sehemu ya kuondokea abiria kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere International Airport(JNIA). | ||
Profesa Aandika Vitabu vya Tiba Kuondoa Uhaba na Kukuza Elimu Inayozingatia
Umahiri
-
Na Karama Kenyunko, Michuzi TV
KATIKA kukabiliana na changamoto ya uhaba wa vitabu vya tiba na ugumu wa
lugha kwa wanafunzi, Muhimbili University of Healt...
1 hour ago


No comments:
Post a Comment