Askari
Poilisi, wakikatiza katika mitaa ya Posta karibu kabisa na Ofisi za
Mkurugenzi Mkuu wa Mashitaka DPP, kulinda amani na kujiandaa kuwakabili
waandamanaji wanaodaiwa waislam waliopanga kuandamana hadi katika Ofisi
hizo leo baada ya swala ya Ijumaa wakiwa na lengo la kushinikiza
kuachiwa kwa Sheikh Ponda. Askari hao wamelazimika kutumia mabomu ya
machozi ili kuwatawanya waandamani hao ambapo baadhi yao wanashikiliwa
na polisi kwa kukaidi amri iliyotolewa na Jeshi la Polisi ya
kutoandamana.
Kampeni ya Chanjo ya Polio Yalenga Kuwafikia Watoto 207,096 Jijini Dodoma
-
Na. Mwandishi wetu, DODOMA
Wizara ya Afya kupitia Idara ya Kinga, Sehemu ya Elimu ya Afya kwa Umma,
imewataka wananchi wa Jiji la Dodoma kujitokeza na kuw...
6 hours ago


No comments:
Post a Comment