POLISI MORO YAIFUMUA AFRICA LYON JAMUHURI MOROGORO TAZAMA PICHA
Timu ya
Polisi Moro Imeendeleza wimbi lake la ushindi leo baada ya leo kuifunga
African Lyon bao 1 kwa 0 na kuondoka na point zote tatu mchezo
uliochezwa leo kwenywe uwanja wa jamuhuri mjini morogoro.Polisi Moro
imepata goli dakika ya 54 goli lililofungwa na Keneth Masumbuko kwa
mpira wa adhabu nje ya eneo la hatari baada ya yassini wa Polisi Moro
Kanyiwa madhambi.
Timu ya
Pilisi Moro leo : Kenth Masumbuko,Chacha Merwa,Nicolous Kabipe, Mikil
Rambo,Nahoda Bakari,,Yassin Salum Kondo, Abdallah Mfuko Bosco John
Timu ya
African Lyon leo : Yusuf Mpili,Jackson Kanywa,Ibra Isack,Abdul
Seif,Brigth Ike,Fred Lewis,Hood Mayanja,mohamed samata,Buya
samwaka,Obina salamsaka,Juma seif
Benchi la ufundi la polisi moro
Benchi la ufundi la African Lyon
Waamuzi wa mchezo huo leo
Kocha wa timu ya polisi moro Adolf richard akifurahia ushindi wa timu yake leo
No comments:
Post a Comment