WEMA AIONYESHA PICHA YA LIFATAKI LAKE KUPTIA MTANDAO
Wema Sepetu akiwa kimahaba na mwanaume aliyedai ni 'mumewe'.
Picha
hiyo ambayo aliiweka kwenye mtandao wa BBM inamuonesha msanii huyo
akibusiana na mwanaume huyo lakini wakionekana kuanzia kwenye kidevu
hadi kwenye kiuno. Baada
ya kuitupia picha hiyo, Wema aliandika: ‘Miss you mume wangu, wewe ndio
kila kitu katika maisha yangu, watasema sana lakini mambo yetu
yanatuendea vizuri.” Maneno hayo yanaashiria kuwa Wema anampenda sana
mwanaume huyo ambaye siyo Diamond.
No comments:
Post a Comment