Azam FC 5-0 Al Nasri Juba, magoli yamefungwa na John Bocco na Mcha
Khamis mawili kila mmoja na Kipre Tchetche moja, kwa matokeo hayo Azam
FC imeingia hatua ya pili ya Kombe la Shirikisho Africa kwa kuitoa Al
Nasri Juba kwa jumla ya magoli 8-1, pongezi wachezaji, uongozi wa klabu
pamoja na mashabiki wetu, One Love!
No comments:
Post a Comment