- Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Willfred Lwakatare akitoa maelekezo kwa vijana wake kwenda kutekeleza tukio la kumteka mwandishi wa habari
- CHADEMA wanatakiwa kutufafanulia watanzania, hii ni mikakati yao au wanachafuliwa?
- Serikali na vyombo vya Usalama watuambie watanzania, kwanini watu hawa bado hawajachukuliwa hatua?
- Kama video hii ni fake, mhusika (Lwakatare) anafahamu nani aliandaa video hii, awape ushirikiano polisi kumtia nguvuni mwandaaji kwa uchochezi!
HII NDO VIDEO YENYEWE
JAB YAWATAKA WAANDISHI CROWN MEDIA KULINDA IMANI YA UMMA
-
Na Mwandishi Wetu.
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imewataka Waandishi wa Habari
wa Crown Media kulinda imani ya umma kwa kuzingatia wel...
10 minutes ago

No comments:
Post a Comment