Askari
wa Jeshi la polisi kutoka vikosi mbalimbali wakiwa wanapanga mikakati
kabla ya kuingia katika mashamba yaliyowazunguka kuharibu madawa ya
kulevya aina bangi na kisha kuiteketeza kwa moto katika operesheni
iliyofanyika wilayani Arumeru. (Picha na Rashid Nchimbi wa Jeshi la
Polisi Arusha)



No comments:
Post a Comment